NDOA NYING ZIMEKUFA ila WATU WANAISHI PAMOJA


Basi ni kudra MUNGU zinazo hitajika kumnusuru anae fanya au kufanyiwa hayo.Mtu ambae ana teseka na ndoa yake amechoka mpaka kutaman ivunjike kesho lakin anapo waza juu ya mali walizo tafuta pamoja na malezi ya watoto
Basi mke au mume ana amua kuendelea kuumia ili kulea familia
Kuna wakat unaish na mtu lakini mambo anayo kufanyia hayavumiliki...ni zaidi ya uchafu au dharau kwani ana utesa moyo na hisia zako kadri anavyo taka..ndugu na jamaa wamejaribu kusuruhisha lakin imeshindikana
..pamoja na yote una hesabu na kujitapa kuwa una MPENZI wakat huyo mpenzi kwake ni kama jalala la kutimizia haja zake za mwili au pesa.
KULAZIMISHA UPENDO
KUJITESA NA KUUMIA
umri wako bado huenda una kupa nafas kupata mpenz atakae weza kufaa hata kama sio leo ila kesho utapata.bora uwe SINGLE kuliko UPENDO wenye kukutesa....
Hata hivyo kuwa na watoto ktk NDOA haimanishi kuwa lazima ufe ukiwa ndan ya NDOA...
wakat mwingine unapo jitunza mwenzako huko ana zunguka na kukuletea magonjwa ndani....
..UNAE MPENDA HAKUPENDI ni jambo la kawaida ktk mapenz ko vyema kuangalia unapo pendwa maana kesho waweza pata moyo wa kurudisha upendo kwake huyo anae kupenda kuliko kulilia sehem usiyo pendwa.




USISAHAU KU LIKE PAGE YETU,BONYEZA LIKE BUTTON

No comments:

Theme images by pollux. Powered by Blogger.