KINACHOUMIZA NA KUUA MAHUSIANO NA NDOA NYINGI NI MAKOSA KUTOSAHIHISHWA
Wengi tunaishi na Wenza wetu kwa MAZOEA Pengine ya kuamini Mwenza wako akilia ukamuomba msamaha yanaisha, ama kama ni Mwanaume akiumia akalopoka matusi ndo yameisha, haiwi hivyo kwani nature ya kila UMIVU la MAPENZI moja kwa moja huelekea Kwenye MOYO na hapo ndipo shida huanzia
Mtu anaweza kutamka msamaha akiamini tatizo limekwisha ila tatizo ya matatizo mengi ya MAHUSIANO/NDOA ni kama ifuatavyo:-
UONGO.
USALITI.
UBINAFSI.
Na mengine yanayofanana na hayo, Kamwe hayaaondoki kirahisi MOYONI ikiwa tayari mwenza wako akiishaumia
Uongo ni kama NATURE Mara nyingi mtu hawi muongo kama sio MUONGO BY NATURE Kama ilivyo kwa Mtu MBINAFSI sio jambo la kujifunza wala la kutengeneza ila ni TABIA HALISI ya mtu, Ukiongelea USALITI hivi tayari una mtu Unaanzaje kupanga makutano, ukavaa vizuri ili ukamtege mtu halafu iweje useme SHETANI AMEKUKAMATA
Kama utasahihisha Makosa yako ni rahisi mno KUPEWA NAFASI YA PILI na mara zote hiyo ndiyo inayodumisha MAHUSIANO/NDOA
Kama huwezi kusahihisha matatizo yako niamini ni ngumu Sana kuliona PENDO ulilolipoteza kwa Makosa yako mwenyewe
No comments: