MWANAUME MFAHAMU MWANAMKE NA HITAJI LAKE ILI UPATE KUUMILIKI MOYO WAKE💯


Wanaume wengi wanapenda kumiliki MWILI WA MWANAMKE badala ya MOYO NA NAFSI YAKE na hilo ndilo limewapofusha na kuwaingiza katika lawama kuu kwamba;-
👉🏼 HAKUNA MWANAUME MWAMINIFU DUNIANI.
Mwanaume unapomchukuwa Mwanamke kwa matumizi ya ki mwili niamini kuna wakati atadai UPENDO nawe utakosa huo UPENDO kwake ndipo mtakapoanza vita na tayari umemzoea itakupa taabu sana😭
Wanaume wengi wanaamini katika vitu vya kupita kwamba;-
👉🏼 UNATIMIZA MAJUKUMU YAKO KWA KUMHUDUMIA MAHITAJI YA KI MWILI.
Niamini nakwambia issue sio chakula, Mapenzi, mavazi, Mali nyingi pamoja na magari ya fahari kwenye ngome yako, wengine hata mnawapa wanawake nafasi ya kumiliki pesa zenu kwamba akiyaona mamilioni kwake ni fahari, haiwi hivyo my friend⛔️
Unaweza kupeana na Mwanamke yote hayo ila bado ukamuona akilalamika😂
Mwisho kabisa ni wewe kuhisi MWANAMKE WAKO HARIDHIKI hapana rafiki yangu, Tatizo ni kwamba;-
👉🏼 WANAWAKE KWA UHALISIA WAO WANA MAHITAJI MENGI SANA AWAPO NA MWANAUME AS MPENZI AMA MUME LAKINI KUU KULIKO YOOOTE AMANI YAKE NDIYO KIPAUMBELE CHAKE💯
Kuna kitu kinaitwa ULIMI LAINI🤦🏻‍♂️ huo ndo uheshimiwe kuliko chochote, Kwa sababu hiyo ndo maana MWANAMKE YUPO TAYARI KUOLEWA NA MWANAUME ASOKUWA NA PESA lakini kwa ulimi laini akasahau mahitaji yake Mengine, Umasikini sio UGONJWA bali ni zao la maisha ya kila BIN ADAM ndo maana tunafundishwa;-
👉🏼 KUZALIWA MASIKINI SIO ISSUE ILA ISSUE NI KUFA MASIKINI💯
Mwanaume yeyote akimfanya MPENZI WAKE AMA MKE WAKE kuwa kama Dada yake, Mama yake, Bibi yake ama ndugu yake yeyote wa jinsia ya kike niamini hakuna MWANAMKE ANAO UJANJA KWA MWANAUME ila tatizo ni sisi wanaume kulazimisha mambo ambayo sio ambayo Mwanamke aliyafuata kwako, wachana na MAKAHABA namzungumzia Mwanamke📌
Hata vitabu vitakatifu vimesema;-
👉🏼 HERI MEGO KAVU NA AMANI KULIKO KALAMU NYINGI NA MAGOMVI🎁
Sasa wewe jifanye mbabe kisa unamtimizia mahitaji Mwanamke wako uje ukute muuza urembo anakudukulia kisa ULIMI LAINI uone Mwanamke wako haridhiki kumbe VYAKULA ATAKULA BAADAYE ATAKWENDA CHOONI ila ukiwa na ULIMI LAINI MOYONI anaishi kwa AMANI kwamba unampenda, Ujinga wa wanawake ni MANENO MATAMU hayo ndo yanawapa BEN TEN kuwala wake zetu yaaani🤦🏻‍♂️
Image may contain: 3 people, outdoor




USISAHAU KU LIKE PAGE YETU,BONYEZA LIKE BUTTON

No comments:

Theme images by pollux. Powered by Blogger.