WANAWAKE KIPIMO MNACHO PIMIA WANAUME ILI KUPATA MWENZA WA MAISHA NDICHO WANAUME WANAKIPIMIA KWENU💯
Kwa sasa ile maana halisi ya UPENDO WA DHATI imetoweshwa na uhalisia wa MAISHA na ndo maana huwezi kukuta Mtu Mme ama Mtu Mke anaolewa bila kuwa na sababu
Unapozungumzia UPENDO unakuwa Kwenye TENDO LA UHITAJI WA BURE ni nani Dunia hii anataka Mwenza wa kuishi nae bila kufanya kitu cha faida kwake?
Zamani wazee wetu waliwaoa Mama zetu kwa KUJENGA FAMILIA
Kwamba Mwanamke ndiye msimamizi wa FAMILIA ila kwa sasa hayupo Mwanaume wa hivyo na ukimpata MSHIKE HUYO.
Mama zetu waliolewa na wanaume wasiokuwa na kitu kwa IMANI kwamba wakianza maisha yao MUNGU ATALETA KHERI
Leo Mwanaume kama huna hela basi ujitahidi kuvaa ili muonekano wako uwe vizuri, Gym inakuhusuuuu ili ubebwe na SIX PACK
Mwanaume mwenye pesa akaoa Mwanamke asokuwa na daraja la MACHINGA basi fahamu huyo ni MALAIKA ameshushwa kwa ajili yako, Mwanamke akubari Kuolewa na wewe na huna pesa wala muonekano huna WALLAH TOA SADAKA YA KUTEKETEZA kwa ajili ya BARAKA HIYO
Ngoja niwape dokezo liwasaidie:-
HAKUNA BIN ADAM ANAPENDA VIBAYA BALI KILA BIN ADAM ANAPENDA VIZURI.
Unajua kabisa wewe unapenda MWANAUME mzuri na mwenye muonekano ila wewe huna vyote VIPI KWA UPANDE WAKE JUU YA HITAJI LAKE KWA MWANAMKE
Ndo maana nikasema:-
KIPIMO MPIMACHO WANAWAKE KWA WANAUME EXACTLY WANAUME WANAWAPIMIA HICHO HICHO.
Sababu ile ile uliyonayo wewe amini hata Mwingine anayo kwa sababu ni hali ya U BIN ADAM
No comments: