JIMAMA TAMU SEHEMU YA 27

Image result for jimama tamu 15

JIMAMA TAMU
Mtunzi-Mniga Mputa
Sehemu. Ya. 27
WhatsApp:0678926045
Mara jeni alikuja na chakula huku kimeshehena nyama za hatali basi jeni akaiweka kwenye meza iliochumbani mule na kumkalibisha,
'"kalibu mniga chakula,
PASTE YOUR CODE HERE
'"asante Sana, aliongea mniga na kuaza kula chakula, siku zikaenda na wiki mbili zikapita na mniga alizoea maisha ya pale siku moja mniga akiwa sebleni Mara zee likaja na kukaa kwenye kochi harafu akamwambia mniga,
'"kijana nisikilize kwa makini Sana,
'"nakusikiloza mzee, aliongea mniga,
'"kwa sasa wewe ni mwenyeji hapa umeshakuwa sasa Mimi ntaki nikufiche kitu chochote Mimi ni kamanda wa jeshi ila ni muuzaji wa madawa ya kulevya na kunamzigo kesho unakuja sasa nilitaka kesho uende na Jeni ukachukuwe madawa hayo, aliongea mzee huku kamkazia macho mniga,
'"Duuuh kwa kazi hilo mzee wangu nisikufiche Mimi siwezi kabisa, aliongea mniga,
'"kijana naona sasa unakataa nikutumacho au umesahau unatafutwa Sana wewe na jeshi la Tanzania au, aliongea mzee yule kwa sauti ya ukali kidogo,
'"nalitambua hilo kwamba natafutwa na jeshi ila isiwe sababu ya kuntishia bhana, aliongea mniga nae kwa sauti kali kidogo maana huwa hapendagi kutumikishwa Kama mbwa yeye,
'"Oh sasa nakwambia nakupa masaa mawili ufikilie na unipe jibu ukikataa ntakutimuwa nyumbani kwangu harafu ntatoa tahalifa kwenye ubarozi wa Tanzania kwamba mtuhumiwa ninae huku ili Mimi nipewe pesa ndefu kwa maisha yangu, aliongea mzee yule huku akinyanyuka na kuingia chumbani kwake, mniga nae akanyanyuka hadi chumbani kwake akajiraza kwenye kitanda huku mawazo mengi Sana Mara akapata wazo la kukubali maana hata akikataa je akifukunzwa ataenda wapi na nchi hii mgeni hapo akaamuwa tu akubali, ila akachukua simu na kumpigia Salome wake ikaita kidogo na kupokelewa,
'"hallo mpenzi wangu mniga mzima wewe, aliongea Salome baada ya kupokea simu,
'"Mimi mzima ila tu matatizo yananiandama Sana yani, aliongea mniga kwa sauti ya upole kweli,
'"matatizo gani mpenzi wangu tena, aliuliza Salome,
'"Daah ni mjomba wako huyu ananiambia niungane kwenye kikosi chake cha kuuza madawa ya kulevya, aliongea mniga,
"'Mmh kwahio kumbe mjomba anafanya hio kazi kumbe, aliuliza Salome,
'"ndio tena kanipa masaa mawili tu yakufikilia nikikata atanifukuza tena atanikamatisha kwenye jeshi la Tanzania hapa nilipo nimechanganyikiwa yani, aliongea mniga,
'"Oh kumbe sasa ngoja mimi nimpigie nimchambe kwanza tabia gani hiyo, aliongea Salome,
'"wee usimpigie maana ukimwambia tu Mimi ntaweza kujiingiza kwenye matatizo Sana acha Mimi nimkubalie tu wangu usihofu, aliongea mniga,
'"lakini kumbuka hiyo kazi ni mbaya Sana harafu tena huku unatafutwa huoni siku ukikamatwa itakuwa noma Sana, aliongea Salome kwa kulalamika,
'"hapana stakamatwa kwa sababu yeye ni mkubwa wa majeshi ntatokea kwenye mgongo wake wala usijari mpenzi wangu, aliongea mniga,
'"sawa Kama unajiamini mpenzi wangu, aliongea Salome,
Itaendelea...............


USISAHAU KU LIKE PAGE YETU,BONYEZA LIKE BUTTON

No comments:

Theme images by pollux. Powered by Blogger.