JIMAMA TAMU SEHEMU YA 28


Image result for jimama tamu 15
JIMAMA TAMU
Mtunzi-Mniga Mputa
Sehemu. Ya. 28
WhatsApp:0678926045
Sawa Kama unajiamini mpenzi wangu, aliongea Salome na kukata simu, mniga akajilaza pale kitandani hadi usingizi ukampitia na kulala, hadi anakuja kustuka ni saa mbili jioni hapo alijinyanyua kwa uvivu kweli akaingia bafuni na kuoga kwanza huku mawazo tele kuhusu maisha yake, akamaliza kuoga na kurudi chumbani alivaa nguo zake na kutoka hadi sebleni ambapo alimkuta mzee katulia kweli safari hii njemba zake zilikuwa hazipo mniga akakaa kwenye sofa kimya,
'"sasa kijana muda wa kufikilia umekwisha nipatie jibu Kama utajiunga na Mimi au umekataa ukusanye vilago vyako, aliongea mzee yule huku kamkazia macho mniga,
PASTE YOUR CODE HERE
'"nimefikilia Sana mzee wangu nimeamuwa kukubali tu, aliongea mniga huku akimtazama jinsi mzee alivofurahi Sana,
'"Oh sasa huo ndo uwanaume kijana wangu sasa unakwenda kuwa tajiri mkubwa tu hapa Africa, aliongea mzee huku akicheka,
'"sijakuelewa hapo mzee ntakuwaje tajiri labda, aliuliza mniga,
'"kwa sababu umejiunga na Mimi ntakuwa nakulipa kwa mwezi shilingi milioni kumi hadi hapo hujawa tajiri tu kijana wangu,
'"kwahapo nimekuelewa ila sasa nikishikwa itakuwaje Kama sio kuozea jera, aliongea mniga,
'"hapana kijana Mimi ninakikundi kipana Sana kwahio hata police wenyewe nao wamejiunga na Mimi kwa maana wanapata pesa nyingi Sana, aliongea mzee yule kwa kilefu zaidi yani,
'"Oh sawa Kama itakuwa hivo mzee wangu tutafanya kazi kwa pamoja wala usiwaze kwahilo Mimi ni jembe Sana, aliongea mniga kwa kujisifia Sana,
'"hahahahaa kijana wangu wewe kweli jembe maana hata ulivowaua Wale wanajeshi ndomaana na Mimi nikavutiwa na wewe kufanya kazi hata Salome alivoniambia nilikubali haraka Sana maana nikajuwa nikiwa na wewe mizigo yangu sizurumiki kijinga jinga bhana, aliongea mniga huku akiwa na tabasam Sana,
'"sawa mzee wangu ila nikuulize swali, aliongea mniga,
'"uliza tu kijana wangu wala usihofu, aliongea mzee yule,
'"tangu nimekuja hapa sijawahi kumuona mama kwani kaenda wapi, mniga aliuliza,
'"Oh niswali zuri Sana kijana ila tu nikwambie mkewangu Mimi kwa sasa yupo china kaenda kuchukua madawa ya kulevya maana ndo biashara yetu ingawa Mimi ni mwanajeshi, aliongea mzee yule kwa ulefu zaidi yani,
'"Duuh hapo nimekuelewa mzee wangu kweli wewe noma Sana yani hadi mkeo, aliongea mniga huku anacheka Sana,
'"hahahahaa kijana unajuwa Mimi naingiza mapato mengi Sana kupitia madawa ya kulevya yani pesa nilionayo Mimi sio ya kitoto nakwambia, aliongea mzee yule,
':sawa hakunashida, aliongea mniga na wakaendelea kupiga story nyingine hadi saaa tatu usiku ambapo chakula kilikuja na wakala hadi kila mmoja Akatosheka hapo ndo mzee akamwambia mniga,
'"sasa kijana kesho asubuhi mapema Sana ukiamka wewe na jeni mtaenda kuuza madawa ya kulevya mrudi na pesa lala ukijuwa kesho kunakazi ngumu sana haihitaji mzaa mzaa, aliongea mzee yule,
'"nimekuelewa mzee na usijari, aliongea mniga na kuelekea chumbani kwake kulala tu maana alikuwa kachoka kweli, alipofika tu yeye akajitupia kitandani na usingizi ukampita, anakuja kustuka kumepambazuka alinyanyuka fasta na kuingia bafuni kujimwagia maji fasta na alipomaliza akatoka hadi chumbani kwake akavaa nguo zake na kutoka sebleni,
Itaendelea................


USISAHAU KU LIKE PAGE YETU,BONYEZA LIKE BUTTON

No comments:

Theme images by pollux. Powered by Blogger.