JIMAMA TAMU SEHEMU YA 29

Image result for jimama tamu 15

JIMAMA TAMU
Mtunzi-Mniga Mputa
Sehemu. Ya. 29
WhatsApp:0678926045
Akatoka bafuni na kuingia chumbani kwake ambako alivaa fasta na kutoka hadi sebleni akazikuta zile njemba na mzee akiwepo,
"'Oh kijana wangu umeamkaje, aliongea mzee yule,

'"nimeamka salama kabisa mzee wangu, aliongea mniga,
'"sawa sawa sasa ngoja Jeni akuletee koti la kazi na nguo zake maarumu hata mtu akikupiga risasi haiingi kijana wangu, aliongea mzee yule
'"hakunashida mzee, aliongea mniga mara jeni akaja huku kavalia koti lefu Sana na kavaa miwani kabisa alivomfikia mniga akamrushia nguo na mniga akazidaka na kwenda nazo chumbani kwake akazivaa fasta na zilimuenea vizuri Sana basi akatoka na kuwakuta wenzake wapo tayali kwa safari,
,"'mniga kijana wangu hakikisha unarudi na pesa hapa, aliongea mzee yule,
"'hakunashida mzee pesa utazipata tu hadi mwenyewe utafurahi Sana. Aliongea mniga na kutoka nnje huku akiwa na Jeni zile njemba huku Jeni kashikilia blufukesi la madawa ya kulevya walitoka hadi kwenye parking ya magari akaingia kwenye gari kali Sana ambayo ni yabei gari ilitengenezwa maarumu kwa ajiri ya matajiri maana hata upige risasi haiingi ndani safari ikaanza huku kila mmoja yupo kimya huku zile njemba ndo zinaendesha gari ila sasa vituko vya jeni Mara amlalie mniga mapajani Mara kifuani yani ilikuwa tabu tupu kwa mniga, ambae alinyamaza kimya Sana wala hakusema chochote ila tu akashangaa gari inazidi kuuacha mji wa Congo hapo ndo akaamuwa kumuuliza Jeni,
'"Jeni mbona tunatoka nnje ya mji huku tunakwenda wapi. Aliongea mniga,
'"usijari miashara Kama hizi tunafanyiaga kwenye poli hilo mbele, aliongea Jeni huku akimuonesha mnig


USISAHAU KU LIKE PAGE YETU,BONYEZA LIKE BUTTON

No comments:

Theme images by pollux. Powered by Blogger.